FUNDI CHEREHANI-(X100)-BOS WORK WEAR

Tags

NAFASI ZA KAZI
KAMPUNI: BOS WORK WEAR
AINA YA KAZI: MAFUNDI VYEREHANI KWA AJILI YA USHONAJI
MAHALA: DAR ES SALAAM
DEADLINE: 30/10/2016
NAFASI: 100

KAMPUNI YA BOS WORK WEAR

BOS WORK WEAR nikampuniinayojihusishanaushonajiwanguonasarembalimbalizamaofisiniikiwanipamojanasarezawafanyakazikatikasektazaafya, hoteli, ulinzinausalama, viwandani, taasisizafedha, uchimbajiwamadini, mafutanagesi, wafanyakazikatikasektayautalii, mashirikayausafirishaji wan chi kavu, baharininaangank. Pia tunasambazavifaavyausalamamahali pa kazi.

SIFA ZA MUOMBAJI

Muombajianatakiwakuwanauzoefuwaushonajiwasarembalimbaliakiwanauwezowakushonasarezisizopungua 5 kwasikukwaviwangovinavyokubalikanakampuni. Akiwanavyetivinavyotambulikana VETA itakuwanivyema Zaidi. Pia mwombajimwenyeutaalamwaufundivyerehanikama vile juki, brother, kansai, singer nanyinginezoatafikiriwa Zaidi.

Maombiyatumwekwanjiayabarua pepe info@workwear.co.tz au yawasilishweofisinikwaanuaniifuatayo:

BOS WORK WEAR/PART OF BENCHMARTK OFFICE SOLUTIONS LTD
PO BOX 31920/ PLOT NO. 553/ BLOCK 44, MPAKANI A/KIJITONYAMA/ DAR ES SALAAM
TEL: +255 762 128 139/717 653544. Email: info@workwear.co.tz


EmoticonEmoticon