AFISA KUMBUKUMBU - Boimanda Modern construction Co Ltd

Tags

5. AFISA KUMBUKUMBU (nafasi mbili Njombe na Iringal
a. Sifa

  • Awe na shahada ya kwanza katika fani ya utunzaji na uhifadhi wa kumbukumbu (records managements & archives) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali 
  • Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45 
  • Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili 
  • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta na mifumo yake ya uhifadhi ~a kumbukumbu 

b. Majukumu ya kazi

  • Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu, kutunza na kusimamia matumizi ya kumbukumbu za kampuni 
  • Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika masijala za kampuni
  • Kudhibiti mfumo wa kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, na kutunza na kusimamia matumizi yake. 
  • Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa. 

Mwisho wa kupokea maombi ya kazi hizi ni Desemba 31,2016.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa:
Mkurugenzi Mkuu,
Boimanda Modern Construction Company Ltd,
S.L.P 1491,
Iringa.


EmoticonEmoticon