MHASIBU MKUU (Nafasi mbili) -Boimanda morden construction Co Lts

Tags
MHASIBU MKUU (Nafasi mbili)
a. Sifa

 • Awe tayari kufanya kazi katika mkoa wa lrinqa , Njombe au katika kituo chochote atakachopangiwa na mwajiri. 
 • Awe na shahada katika masomo ya uhasibu kutoka katika chuo chochote klnachotarnbullwa na amesajiliwa na mamlaka za kisheria 
 • Awe na ufahamu wa kutosha kuhusu taratibu, kanuni na sheri a za makampuni 
 • Awe na uzoefu ama uelewa wa kinadharia wa kukokotoa mizania ya mirejesho ya kodi za makampuni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA 
 • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja na mifumo ya fedha katika kompyuta (Accounting packages) 
 • Awe mbunifu, mwaminifu, anayejituma na anayeweza kujisimamia mwenyewe 

Awe na uzoefu wa kazi hii wa kipindi kisichopungua miaka miwili
Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45
b. Majukumu

 • Ndiye atakayehidhinisha hati za malipo kwa maelekezo na kwa kuzingatia taratibu za kampuni 
 • Ataandaa taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi 
 • Atasimamia wahasibu wasaidizi katika kazi zao za kila siku 
 • Atasimamia shughuli za uhasibu kwenye kitengo cha Idara 
 • Ataandika taarifa ya maduhuli 
 • Kutayarisha ripoti maalumu ya fedha kwa kukusanya, kuchambua na kufupisha maelezo ya akaunti 
 • Awe na uwezo wa kukokotoa mizanja ya mirejesho ya kodi za makampuni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA 
 • Atahakikisha malipo kwa wafanyakazi na vyama vingine yanafanywa kwa kuzingatia sheri a, kanuni na taratibu kwa 
 • kufuata rnlonqozo na sera ya kampuni 
 • Atachambua mwenendo wa mapato na matumizi ya kampuni na kupendekeza viwango vya bajeti vinavyokwenda sambamba na udhibiti wa matumizi 
 • Kufanya kazi nyingine zozote kwa maelekezo ya manejimenti


Mwisho wa kupokea maombi ya kazi hizi ni Desemba 31,2016.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa:
Mkurugenzi Mkuu,
Boimanda Modern Construction Company Ltd,
S.L.P 1491,
Iringa.


EmoticonEmoticon