MHASIBU MSAIDIZI (Nafasi mbili) - Boimanda morden Construction

Tags3. MHASIBU MSAIDIZI (Nafasi mbili)
a Sifa

 • Awe tayari kufanya kazi ama katlka mkoa wa Iringa, Njombe au katika kituo   chochoteatakachopangiwa na mwajiri 
 • Awe na stashahada (diploma) katika rnasomo ya uhasibu 
 • Awe na ufahamu wa kutosha kuhusu utaratibu, kanuni na sheria za makampuni 
 • Awe mbunifu, mwaminifu, anayejituma na anayeweza kujisimamia mwenyewe 
 • Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45 na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili 
 • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja na mifumo ya fedha katika kompyuta (Accountingpackages) 

b. Majukumu

 • Awe na uwezo wa kupokea na kulipa fedha 
 • Ajue namna yakutunza daftari la fedha 
 • Ajue kufanya usuluhishi wa hesabu za benki 
 • Ajue kukagua hati za malipo 
 • Ajue kupitisha malipo kulingana na kanuni za fedha 
 • Ajue namna ya kusimamia kazi za wasaidizi wa hesabu 
 • Atakuwa msaidizi wa mhasibu mkuu 


Mwisho wa kupokea maombi ya kazi hizi ni Desemba 31,2016.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa:
Mkurugenzi Mkuu,
Boimanda Modern Construction Company Ltd,
S.L.P 1491,
Iringa.


EmoticonEmoticon